
Unaitaji Nini kuanzisha biz ya cyber mtaa yako ?
Over time tumewitness growth ya cyber kwa corner kadhaa mtaani , kuna online services kama kufile tax returns , applications tofauti tofauti online na pia printing services unaeza offer kwa cyber na umake dooh fitie in return 💯 na unaeza pia utilize audience ya wasee wa movie iyo baze ikuwe movie shop pia. Ukishapata base fitie ya kuset up biz yako kitu unaitaji next ni :
1.internet connection fitie -unaeza eka wifi juu ndio cheap ama ushike my wifi, 2. PC - computer fast nilazima ndio ukuwe efficiency kwa services unaoffer online 3.printer - juu ya printing services unaitaji printer fitie to make the work done . 4.legal right - make sure umelipa work permit yako ndio msisumbuane na kajo .
Kama kuna any tumeacha unaeza ongeza hapo kwa comment section 🙏💪
