Unajua biashara yako inafaa kulipa tax gani? 🤔
Anzia hapa...
Biashara yako inaturn over ngapi kwa mwaka?
📍 Chini ya KSh 1M – Keep records zako sawa.
📍 KSh 1M–5M – TOT inaingia.
📍 Above KSh 5M – VAT inaingia pia.
📍 Above KSh 25M – TOT inaisha. Sasa ni stage ingine.
Swali si, "Nilipie tax gani?"
Swali ni,
"Biashara yangu iko stage gani?" 😅
Turnover yako ndio huamua tax obligations zako.
Wewe ulijua hii, ama KRA ndio ilikufunza? 👇
0
0
0