
Unajua cheat code ya Gikomba??
Ukifika Gikosho uskie bei ya kiatu ni Tisa, unajua wanamaanisha ni 150 or 200 bob instead of 900 bob?? Trader akisema bei ni Kumi na mbili anamaanisha what?
Leo nime-learn that kuna lugha ya gikomba ya pricing! Click the link kujua siri alafu tuchapiane kwa comments!! https://x.com/fynestnai/sta...

0
0
0