
Unajua kupost chenye unfanya ama unauza kwa social media pages zako inaweza kuletea clients? Kama hauko Facebook, Instagram ama TikTok unaweza market biz Yako through whatsapp status, ukiwa na flyer fiti ikona details za biz Yako ama skills unafanya unaweza pata mteja. Biz yangu nikukutengenezea posters Kali za kumarket biz Yako at a very small fee. #formnikujengana



0
0
0