
Unajua public speaking sio tu kusimama mbele ya watu na kuongea my guys, hii hukua game ya ku-command attention bana. Now, confidence yako inatoka wapi? Wacha niwapee siri, thank me later.
-
Power Posing 🕴️ – Simama kama bazu, ukae kaa unadictate room.
-
Controlled Breathing 🫁 – Breathe tu na amani bana, calm nerves zako kabla ya kuanza.
-
Voice Modulation 🎤 – Badilisha tone yako na ucheze na mood ya audience.
Ama you guys ni trick gani hua mnatumia?

0
0
0