
Unajua ukitumia charger mbaya uneza haribu battery ya simu yako haraka? Hakikisha voltage na amperage ziko poa
- Voltage (V) inafaa kuwa sawa na ya original charger yako.
- Amperage (A) inaweza kuwa juu kidogo lakini isiwe chini.
Kwa kawaida, simu zinatumia 5V na 2A au 3A. Ukiona kuna charger ya faster charging, angalia pia kama device yako ina support hiyo speed. Unaeza sema charger gani ndo imekuserve poa kabisa?


0
0
0