Unakuta kuna time biz Iko down, bill nazo ni pilling tu ata hazijali bidii yako ya takataka 😅 food unakula tu chakula ya kuku, yaani cereals mwesi kama six ivo. Unashangaa kama ni villagers wame succeed with their weapons formed against you. Unakimbia church, uko first quiz ni, "do you tithe?" Unakumbuka hata ni kama ni wewe unadai Mungu joh. Sasa unashindwa what is waati..😞😞😞😅.
Despite all that, nataka ujue that time test everything and everyone to see if the frequency they are us really what they deserve. It's just sometime and all shall be well, sio tithe, sio uchawi, ni qualification of your heart to that is being tested.

0
0
0