Unanitafuta? Niko Hapa. Bibi nyumbani amenikazia macho juu ya swali la wajukuu. Sasa natafuta mtu wa roho safi, mwenye akili ya Google na moyo wa Netflix — always streaming love.
Mimi ni nani?
-
Mimi huota nikiwa nakula, na nikikupenda sana, naweza kukuuma kidogo kwa ndoto.
-
Mjanja wa kujituma – nikianza hustle, unaweza dhani nimemea mabawa.
-
Jikoni mi ni master chef. Ukileta upishi wa sinema, nitakulazimisha uchukue notes — na invoice.
-
Pesa? Sikosi. Na kama ni lazima, nitauza hata dawa ya minyoo, lakini njaa haipati nafasi.
Na kama wewe ni dem mwenye akili, moyo, na kichwa cha biashara – Fika hapa: https://dan-mirigi.web.app Namba iko hapo. Lakini kumbuka: biashara huja kwanza. Mapenzi yafuate kama dessert.

0
0
0