
Unashangaa mbona remote yako inakataa kufanya kazi hadi upige kofi? 😂 Hii ni kwa sababu ya dust buildup na battery contact issues. Over time, uchafu hujipanga kwa contacts za battery, making it hard for power to flow.Na kuna ile trick ya kuona kama battery ya remote imeisha kwa kutumia camera ya simu yako. UshaiTry it?
0
0
0