Unaskia msee akisema alienda kununua kitu akagongwa(“sold more than markets price”).Wewe kwa biz yako ndio unajua expenses zako so unafaa kuweka price unajua utamake profits.Example soda kwa retail shop si same price na 4star hotel.
0