
Unataka ku advance kwa biz ama life? Omba God mshow kile unadai ata kama inakaa ufala bora unajua iyo ndio kitu unataka (Manifestation)😂 , alafu Saidiana na Ma morio wako anyway utaeza , na ukue honest. Usikule Haram. Alfu take care of mindset yako, sometimes noma yetu hua si kupata dooh, ni kueka ganji, anza na kusoma kitabu kama hii , mimi imeni influence vifiti

0
0
0