
Unataka Kuanzisha Kuku Farming? Hii Ndo Blueprint a Contribution ya fellow Mesher!
Kama uko na plan ya kuingia kwa poultry farming, basi hii post ni specifically yako. Leo tunabonga zile first steps unafaa kuzingatia kabla u-decide direction yenye inakufaa. Kuwa makini from the start ndio uweze kuhit your goals bila stress. Ready? Hii ndio guide ya kuku farming as shared by fellow Mesher!
1️⃣ Kuchapa Research and Planning Kuna saying common hapa AgriBiz, "farm from market". So the best starting point nikuanza na market research. Elewa what sells, is location yako ideal ama itabidi kusaka better alternative.
2️⃣ Choose Type ya Chicken Kuna four main types of kuku unaeza start with, depending na goals zako na ile market una-target;
✍ Broilers- Meat Production Hii type u grow faster na ukuwa ready in 6-8weeks. Ina require more feed.
✍ Layers (Egg Production) Layers u-start ku-lay eggs around 18-20 weeks, na advantage yake ni ku-provide steady income stream kutoka kwa mayai.
✍ Kienyeji Hii ukuwa preferred sana juu ya taste na "kuzoea shida"-hardy na resistance to diseases. Zo' utake longer kumature but ukuwa less costaly in terms of feeding na maintenance. Kienyeji inaeza kuwa both ya mayai na nyake.
✍ Improved Kienyeji Hizi ukuwa selectively bred ku-retain the resilience while ina improve growth rate, mayai production na disease resistance.
Next week tuta break down setup ya coop, ku buy chicks na feeding. Kama uko na swali please leave kwa comment section.
