
Unataka kuinua game yako ya creativity? 🎨🎬🎤 SANARA Program iko hapa kusaidia vijana (18-35 years) in Kenya na trainings, na support ya biashara 📈!
Kama uko kwa fashion 👗, film 🎥, music 🎶, ama performing arts 🎭, hii ndio chance yako ya kung'ara! ✨ SANARA Program iko Kakamega, Kisumu, Mombasa, Nairobi, Nakuru, na Turkana counties! Usikose kuwa sehemu ya hii creative revolution kwa county yako! 🌍🎨
Usipitwe! Apply leo uende the next level kwa creativity game yako! 💥 👉 https://zfrmz.com/eam36yuWd...

0
0
0