
Unataka kusaidika ku fanya business and company financial accounts pamoja na kufile relevant taxes?ni reach nikuassist na hii mboka.Nimekua nikipractise accounts for 8 years now na naeza kupa advice moja mbili on this approach.Contacts ziko pale kwa profile na sio hio tu niko na services kadhaa nado pia ukichungulia kwa profile pic iko na biz card yangu
0
0
0