unatumiwa message ya Mpesa but ukiangalia kwa balance imeandikwa LOCKED. then nikapigiwa phone na nikaambiwa nifinye codes ingine mrefu not knowing naibiwa. wanaeka hiyo codes huwezi elewa unakuwa corned aky.
0