
Unauza ama unanunua? Leo ni Valentine’s, na creatives wanajua hii ni siku ya kunyesha pesa. Unauza photoshoots, love cards, custom art, ama romantic content?
Kama unauza kitu creative leo (photoshoots, designs, art, music), toa ka offer kachafue soko, punguza bei kidogo, then uongeze value, Weka discount ya 14% juu ya Feb 14.
Anyways pendaneni, love is in the air mimi na mafans huku nyuma tutakua tunasema tu "awww!" hatuna wivu ata😑😂

0
0
0