Unauza electronics ama unafanya repairs?
Watu wanakuamini aje kama hakuna mahali wanakuona online? Hakuna picha, hakuna Google profile, hakuna reviews?
Siku hizi watu hu-Google "fundi TV Kasarani" ama "laptop repair Rongai" — na fundi mwenye ako Google ndiye hupigiwa simu.
Nimekua nikisaidia SMEs kama yako kuwekwa Google, kucreate content, na hata kusaidia na maflyers.
Ukiwa interested, niandikie “FUNDI” inbox, nikupee free consult vile tunaeza kuku-organize vizuri upate wateja wengi.
0
0
0