
UNAWEZA AVOID AJE “KUGONGWA” KWA HIZI STREETS ZA KANAIRO NA PLACES ZA SOKO?
-
Before ufike soko ni poa kufanya deep research yako ya products zenye unaenda kubuy, at this current state watu sahi wako bizz mbaya saana na ukizubaa unaangukia mahali pabaya.
-
Unaweza anza kunego na bei ya chini but usikasirishe muuzaji, itakusaidia ndo atleast mfike bei yenye nyinyi wote mtaskizana.
-
Nivizuri kuweka feelings kando juu hii ni bizz mna discuss na ni wewe unadai hii product.
-
Elewa Lugha ya soko usijipate una changua mali ya 200bob ukifikiria ni 100bob.
Ni tips gani zingine unaweza share hapa kwa comment section ndo at the end of the day nisiseme “NIMEGONGWA”?😪😪

0
0
0