
Unaweza fanya kazi ngapi?
Moja? Mbili ama tatu ukijaribu sana
Lakini unaweza own dividend stocks ngapi? Infinite
Dividend stocks ni kampuni zinapeanga shareholders part of their profits.
Hizo profits to shareholders zinaitangwa dividends.
Ukitaka kulearn more about stocks nipee follow.
I'll be sharing more about stocks/shares in the next one week.
0
0
0