
Unaweza fanya kazi ngapi?
Moja? Mbili ama tatu ukijaribu sana
Lakini unaweza own investments ngapi? Infinite
Ukitaka kulearn more about investing tujoin hii April
Tutakuwa na Financial Literacy Bootcamp.
Topics ni:
- Kuinvest in Government securities
- Dividend stock investing
- Smart saving
Cost ni kes 600 per topic ukiregister na kulipa by 10th April
Register hapa 👇
https://forms.gle/BTRfABpw5...
Karibuni sana ☺️

0
0
0