
UNDERGROUND OVENS/ EARTH OVENS/ PIT OVENS
Nyama laini, fall-of-the-bone goat/beef hupikwa kupitia tanuri. Yaani underground ovens. Shimo linachimbwa, kuni inaekelewa, moto unawashwa na chakula kinawekwa juu. shimo linafunikwa, chakula kinaiva polepole. Chapati, roti, anjeera, pia nyama hugeuka kuwa laini mno.
Kila community ina njia zake za upishi. Traditionally, huwa mnapika na jiko aina gani?


0
0
0