
Unfortunately,, this time round,, hii Vita ya covid 19 imenipeleka nduki. Imekoroga hata business yangu imekuwa siitegemei hiyo pekeake Kama awali,, Iko down sana, kadri siku zinavyokwenda ndio situation inakuwa worse zaidi. But,, sijagive up bado tunapambana kwa kila hali. Mimi nasurpot, chenye kimesemwa hapo kwamba, wasee wanajaribu kutusurpot kutuinua kiuchumi, hiyo itakuwa vizuri zaidi, msichoke wasee, wa mesh.life wakishirikiana na Na Baba yao SHUJAAZ, ONE LOVE.
0
0
0