
Ungeprovide location yako ingekuwa better but we work regardless. The idea and resolve is already there, that's the most important thing.
-
Identify location ya biz, rent haifai kupita 2k juu unaanza, tafuta base at least Kuna foot traffic juu Bado huna repeat clients, iseti base watu wanatembea wataiona .
-
Nunua meza mbili za plastics kama ni ka space umerent ama mbao kiasi za kufix seats. Hapa ikienda sana plus labour ni 5k assuming ni vitu Brandi, ukipata second hand utasave kama ngiri mbili hivi.
-
Nunua sufuria kubwa mbili kwanza, ya sima na maharagwe alafu na pan ya Chapo na utensils hizo zote. Hapa ndo ni tricky kidogo kidogo kifedha kama huna vitu kabsaa approximately 7 k can do this.
-
Uneza ifanya solo for the first month, alafu ikishika utafute mtu moja wa kukusaidia juu kuserve clients, kuangalia jikoni na pia kuosha utensils ineza kuwa ngori msee moja.
NB hizi ideas haziko in order, uneza Anza from any depending.