
Ungetaka kuanzia biashara y kufuga kuku kama mkulima mdogo, uuze wakiwa wa nyama ama mayai. Hapa tunakusaidia kuanzia hii biz. Tuko na vifaranga wa mwezi Moja ambao hukua haraka na waweza kuuza wakiwa miezi tatu(nyama) na kuanzia kutaga mayai wakiwa miezi 4.5. Jiunge nasi uanze safari yako Leo. Tutakupa support na tips katika safari hii. Karibu.

0
0
0