Unlike Our Country Kenya, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ana ndoto kubwa, iwapo atachaguliwa kwa mara ya tisa.
Amesema ndani ya miaka mitano atahakikisha uchumi unakuwa kwa takriban shilingi trilioni 65 kutoka trilioni 8.5.