Upgrade ya system imekua poa, speed iko tu poa sana kuliko hapo kitambo kiasi, shukran mesh kwa hii upgrade na tuzidi kuchanuana ki biz.