
Ushai amka na mwili inakataa. Ni asubuhi but unafeel nikama ulikuwa unalima shamba. Ni asubuhi lakini unafeel umechoka , kichwa inaauma na huna mood ya kufanya anything. That is just your body telling you ,you need to take care of yourself. Hizo health breaks zinaboost mental health yako vi viti , zinafanya unamanage Ku deal na visanga zote za biz.
Ukifeel umechoka wachana nayo rest, do an activity enye inachangamsha akili na mwili
Remember it's okay not to be okay
0
0
0