
Ushaiambiwa uko nyuma kama magoti ya kuku? 🤣 Anyway long story short hiyo kitu ilinisumbua sana magoti ya kuku inakuwaje nyuma? Nilifikiria sana waa. Lesson ni kuna vitu in life hatuko keen nazo. Sisi tunaendelea tu hatuangalii kwa makini na tunadharau vitu zingine. Same pia na biashara, kuna vitu tunakosa kuangalia venye huwa zinahappen alafu zinatuaffect mbeleni. #Biz
0
0
0