Ushaijipata kwa hii situation wakati unatry kulog in a certain account kwa mobile phone ama laptop alafu unapatana na hii statement.Sahyo ata ni account ikona pesa na hutaki kuchange password