Ushawahi fikiria kujaribu flash sales? Hii ni technique ya ku-clear stock ya haraka na kuleta new customers kwa duka yako. Tuma offers kwa WhatsApp ama social media na utashangaa na venye watu watarespond

0