Ushawahi haribu fare yako kuendea nguo kwa fundi then anakuuliza ulimletea nnš¤š¤ after a whole week. Hata yeye mwenyewe hakumbuki𤣠This means hata hajaishona #HappyNewYear2024