
Ushawahi jikaza usave doh... alafu shugli ama situation ina-happen out of nowhere inabidi umeguza savings bila hata pressure? 😅
Whether ni emergency, impulse buying, ama life tu imekuhit, most of us tumepitia hii situation.
How do you save bila kugusa savings zako?
Share what works for you.👇
0
0
0