
Ushawai chukua loan? 🤔
Mtu wetu Isaac Mwangi ako na experience kibao na loans, ametushow lazima ufanye research fiti ⏩Hakikisha unaelewa terms and conditions fiti! Na pia Interest rates, ushawai chukua loan ukashindwa kulipa?!
Share na sisi kwa comments! 👀

0
0
0