Ushawai kuenda kubuy kitu then mwenye anakuuzia anakaaa ni kama hayuko interested kukuuzia🤔,,,how did you do ?