Ushawai pelekea msee nguo with the hopes that atabuy alafu you get them na stress zake tu, Leo nmekutaka na msee and I was like "mambo mum, nikuuzie tudress twa uyu mtoto wako" her response "umeskia ni nguo hana ndio uniletee za mtumba"..... Sema disappointment pap yet twas still morning hours but ikabidi nilenge tu since being a single mom comes with it's own challenges and I have to provide for my baby no matter what, so inabidi tujitume hadi hustle ijipe, one day at a time. If you find any hawkers like me selling around, if you don't want to buy please be kind coz si rahisi kuzunguka kwa hii solar na dust on the bike na bag mzito on my back... Tia

0
0
0