Ushawai sumbuliwa na Kanjo kwa #Biz? 🤔 Njeri ako na shop ya Mpesa Machakos na anatuchapia her top tips za ku-avoid shida za licenses na taxes. Skia form ya ku-avoid noma na Kano alafu tuchapiane, solution ya Kanjo ni gani?

0