Usichanganye deni na loyalty. š
Ati ni customer wa miaka mingi...
Sawa.
Lakini hiyo si sababu ya kumpa credit kila wakati.
Nimeona biashara zikiteseka si juu hazina customers...
Ni juu pesa iko kwa customers. š
Ukitoa credit, kubalianeni vitu tatu:
š° Ni kiasi gani?
š Atalipa lini?
š Na akichelewa, unafuatilia lini?
Biashara si bank.
Na cash flow haiskii huruma. š
Wewe unaweka rules za credit, ama ni "tutapatana"? š
0
0
0