
Usikue unafunika kachumbari sana hiyo maji inafanya inaoza so tafuta dish utoboe hapo chini ndo ukue unaekelea kachumbari .
Na Kama biz haijashika sana ukue unakata in bits kidogo kidogo as customers increase . That's advice from experts Comrades wa Chuka university kuna comrade hapo opposite gate A, tutokee

0
0
0