
Usiogpe Deni; My personal experience... My biz nilianza na loan. Niliget loan from micro finance institution under youth group I was in na mabeste zangu. Haikuwa hard kwa biz ku break even juu nilifanya research fiti, choose ideal location, adopted the most cost effective marketing strategy ya kutumia ma beste and kujituma by doing something unigue from what competitors walikuwa wanafanya. Tool No 1C provided hapa iko na very useful breakdown. With addition ya videos unaget dope Financial Knowledge. #MeshFinFit.
0
0
0