♻️ Usitupilie mbali maplastiq na mapapers 💰 Ukirecycle, ikona dooh ndani yake 🌍 Una save mtaa na environment pia 🙌 Tucheze smart, tucheze green life! #Tujengane