
Usiwai dharau hustle yako, hicho kidogo unachofanya kitakupa mapato unayotaka, heri kufanya 5% daily kuliko 0%. Jua kuwa hakuna gorofa ya Nairobi ambayo ishawai jengwa na one day, huwa wanajenga kila siku hadi mwisho. Pia wewe kidogo kidogo cha hustle yako kitakupa makubwa ya jasho lako. No matter what people say about you and what you DON'T GIVE UP. Hicho kidogo ndio kitakupa chakula, maneno yao hayakupi chocolate. STAND STILL and keep going. #MesHers #Tujengane #Thursday
0
0
0