Usiwai jishuku kwa hustle ama his yako mtu wangu. Hii ni story ya Willy vile hustle ya smokies, popcorn na mayai pasua imemtoa mbali. Talk to us unaona biz yako ikiwa wapi in the next 2 years?