
Usiwai tupa ndizi because it has overripe πππ,,, Siri ndio hii hapa kwa wasee hawajui form,,, tafta groundnut ama cashewnuts,,, mix kwa blender, ongeza maziwa then give it a thorough blending for 6minutesππππ Call a friend and share the sweetness
#jichanue na leftovers

0
0
0