Usiweke Display ya 'Fake'! β β Niaje MESHers! Hakuna kitu inaharibu luku ya iPhone kama kioo imecrack na alafu hapo ndio deals zako za hustle zimekwama π. Kwa Apple4all, hatubahatishi. β Form ni:
π Genuine OEM Screens: Tunatumia screen originalβrangi ni zile zile, touch ni smooth, na Face ID haipotei.
π οΈ Expert Fix: Tunatibu iPhone yako irudi hali yake ya mwanzo ndani ya dakika chache.
β Quality Guaranteed: Ukitoka hapa, simu inakaa kama imetoka kwa box leo! βAcha kutumia simu inaku-chomea π.
Leta hiyo machine tupige upgrade ya ukweli na OEM components zenye ni legit. β π₯ Nicheki DM model yako saa hii nikuibie siri ya bei! π€.
0
0
0