
UV Sterilizer ni kamachine utapata kwa kinyozi ama salon and inafanana na microwave, huainaokolea sana pande ya kusterilize/kusafisha clippers, vichana, makasi, manicure and pedicure tools and so many other items that needs deep cleaning cause inafanya vitu zinakua safi and free from bacteria, unaweza plan ku-buy, if unaplan kuventure into kinyozi/salon biz, i highly recommend it.

0
0
0