Uyu jamaa wa kinyozi anatoa towel kwa maji moto hadi yeye anashindwa kushika alafu ananirushia kwa kichwa ya mteja 😂💀💔