Uza maji baridi, soda, biscuits, ndizi, sweets, ice cream na ice pop from babadogo. ie.( tafuta coolers box ama bucket weka ice cube weka maji na soda). Kama kuna baridi kahawa, maandazi na cakes (from kariobangi kuna baze wanauza pack na 40bob) Hapo Kwa challenges make sure unauza affordable products Kama maji, ice etc buy sourcing from affordable supplier na pia unafaa kukaa rada customers wanaweza ku-overwhelm wengine wakose kulipa.
0
0
0