Uzuri na Open Air Market ni eti hulipi rent na pia items zako zinaonekana na wateja virahisi unlike kuuzia place enclosed.
Disadvantages ya hii open air market hukua gani?