Vacancy! Kuna job unakam thru soon at Greenspan Mall ya Chef na brand ambassadors wawili (preferably ladies). Chef akuwe anajua kumake foods za kawaida na pia fast foods tasty ajabu eg. Burgers, Bhajia, Wings na Pork Ribs etc
Salo iko around 15k.
0
0
0