
Vaccine ya Covid-19 ina-land next week hapa Kenya! Tuko ready?
Hapa kuna 45 seconds video tume-get kutoka World Health Organization (WHO) kuelimisha MESH Community vile hii vaccine inado job.
Very important we watch - health ni muhimu manze. After watching tuchapiane hapa kwa comments na opinions zetu.
#LearnIn45Seconds #Covid-19
0
0
0